Vijana wamehimizwa kusimama kidete katika kukabiliana na ufisadi. Waziri wa masuala ya vijana Salim Mvurya na mwenyekiti wa tume ya maadili na kukabiliana na ufisadi EACC David Oginde wamesema, ikiwa hautadhibitiwa, mustakabali wa vijana ambao ni idadi kubwa ya watu utakuwa hatarini. Walizungumza wakati wa kuadhimisha siku ya kimataifa ya kukabiliana na ufisadi katika jumba la mikutano ya kimataifa la KICC chini ya kaulimbiu ya kuungana na vijana dhidi ya ufisadi.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive