- 92 viewsDuration: 3:05Wadau wa sekta ya magari ya kieletronikikwa ushirikiano na serikali wanatekeleza juhudi za kuwianisha mifumo ya kuchaji na kubadilisha betri katika pikipiki ili kuimarisha upatikanaji na kupunguza gharama kwa waendeshaji kote nchini. Meneja wa shirika la utoaji mikopo ya kibiashara la Watu Eric T amesema kuwa kutolewa kwa muundo msingi uliowianishwa wa kuchaji utaimarisha ununuzi wa magari ya aina hiyo kwa hizi na habari nyingine huu hapa ni mkusanyiko wetu wa habari za biashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive