Ukraine: ‘Tunayapungia mkono maisha yetu'

  • | BBC Swahili
    1,070 views
    Ukraine imesema imefanikiwa kuyakomboa maeneo muhimu yaliyotekwa na wanajeshi wa Urusi, yenye ukubwa zaidi ya kilomita za mraba 6,000 hivi karibuni. Rais Volodomyr Zelensky amelishutumu jeshi la Urusi kwa kulenga maeneo muhimu ya miundo mbinu yake katika maeneo ya mashariki. #bbcswahili #ukraine #urusi