- 79 viewsDuration: 2:08Kuna hitaji la dharura la kuimarisha mifumo ya uwekezaji barani Afrika ili kufungua fursa za ukuaji wa muda mrefu na unaojitegemea. Ujumbe huu uliibuka wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Uwekezaji wa bara Afrika wa mwaka 2025 uliofanyika jijini Nairobi, ambapo viongozi wa fedha na sera kutoka kote barani walikusanyika. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive