China imekabidhi meli mbili mpya za kusafirisha gesi asilia iliyoyeyushwa zenye urefu wa wa mita elfu 174, zikiwa kizazi cha tano cha meli za aina hiyo. Zimeundwa na kujengwa kwa teknolojia ya kisasa kabisa, zikiwa na mifumo ya kupunguza utoaji wa gesi ya kaboni na kuongeza ufanisi wa nishati. Hatua hii inaashiria maendeleo makubwa ya China katika ujenzi wa meli zisizochafua mazingira na kukuza ushindani wake wa kimataifa katika sekta ya baharini.Maelezo kamili ni katika Makala yetu ya ifahamu China
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive