Skip to main content
Skip to main content

Maadhimisho ya 62 ya sherehe ya kitaifa ya Jamhuri yalisheheni mitindo ya kila aina

  • | KBC Video
    351 views
    Duration: 3:18
    Maadhimisho ya 62 ya sherehe ya kitaifa ya Jamhuri yaliyoongozwa na rais William Ruto katika uwanja wa kitaifa wa Nyayo jijini Nairobi, yalisheheni mitindo ya kila aina kuashiria ulimbwende wa siku yenyewe. Sherehe ya mwaka huu ikishuhudia maafisa 230 waliorejea nyumbani kutoka Haiti, wakipewa heshima kupitia gwaride mbele ya kiongozi wa taifa, licha ya pongezi tele kwa kazi nzuri waliyotekeleza ya kudumisha amani katika taifa hilo la Carribean Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive