Skip to main content
Skip to main content

Wafanyakazi wa KBC waandaa sherehe ya kufunga mwaka Mombasa

  • | KBC Video
    211 views
    Duration: 2:23
    Wafanyakazi wa shirika la utangazaji nchini-KBC wana matumaini huku wasimamizi wakitangaza kuanzishwa kwa mifumo iliyoimarika kuhusu masuala ya wafanyakazi ambayo itabuni fursa zaidi kwa zitakazofanikisha wafanyakazi kupandishwa vyeo. Akizungumza alipoongoza hafla ya sherehe ya kufunga mwaka jijini Mombasa, Mkurugenzi mkuu wa shirika hili Agnes Kalekye pia alifichua mipango ya kuboresha studio za shirika hili huku wakiangazia upeperushaji wa vipindi zaidi vya kipwani, wanawake na vijana pamoja na ari mpya itakayohakikisha shirika hili linanakili faida. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News