Skip to main content
Skip to main content

Vijana wa Kenya waendelea kufanya vyema katika michezo ya vijana ya Afrika kule Luanda, aAngola

  • | NTV Video
    17 views
    Duration: 57s
    Vijana wa Kenya waliendelea kufanya vyema katika michezo ya vijana ya Afrika kule Luanda, aAngola, wakiongeza medali sita na kuzoa jumla ya medali 23, huku ikisalia siku moja michezo kukamilika. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya