Waendeshaji baiskeli wanuia mbinu hiyo kuhifadhi mazingira

  • | KBC Video
    57 views

    Shirika la Critical mass ambalo linahusika na maswala ya uendeshaji wa baiskeli linashinikiza matumizi ya baiskeli kwa maswala ya uchukuzi mjini kama sehemu ya kuhifadhi mazingira. Shirika hilo ambalo lilizinduliwa hafla zake za awamu yake ya mwezi Septemba katika eneo la Jevanjee gardens jijini Nairobi, linalenga kuboresha jiji la Nairobi na kulifanya kuwa jiji linalozingatia zaidi uchukuzi wa baiskeli. Katika awamu ya mwezi huu, kundi hilo liliendesha baiskeli hadi eneo la Langata na kurejea katika eneo la Jevanjee gardens baada ya kuendesha baiskeli kwa umbali wa kilomita 25.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #cycling #environmentconservation