Magari ya uchukuzi wa umma jijini Nairobi yanatarajiwa kutumia kituo cha Green Park

  • | K24 Video
    93 views

    Magari ya uchukuzi wa umma jijini Nairobi yanatarajiwa kuanza kutumia rasmi katika kituo cha Green Park kuanzia tarehe 24 mwezi huu. Mradi wa ujenzi wa kituo hicho uliogharimu shilingi milioni 250 sasa umekamilika. Hata hivyo baadhi ya wahudumu wa matatu wanaotakiwa kutoka katikati mwa jiji katika lengo la kupunguza msongamano wamelalamikia ubaguzi .