Siasa za Mlima Kenya zachukua mkondo tofauti

  • | K24 Video
    199 views

    Siasa za Mlima Kenya zinachukua mkondo tofauti baada ya kinara wa Azimio na naibu rais William Ruto kuteua wagombea wenza wao kutoka eneo hilo. Hata hivyo wadadisi wamesema kuwa karata ya Azimio ya kumtangaza mgombea mwenza wa kike huenda ikavutia kina mama hata waliokuwa wanaegemea upande wa Kenya Kwanza.