23 Dec 2025 1:32 pm | NTV Video 10,973 views Duration: 4:52 Ni pigo kubwa tena kwa wakaazi wa eneo bunge la Likuyani, eneo pana la Lugari, na kwa wakenya wote kufuatia taarifa za kifo cha daktari Enoch Kibunguchy, aliyekuwa mbunge wa eneo bunge la Lugari.