- 3,721 viewsDuration: 1:22Watu kumi wamethibitishwa kuaga dunia huku wengine saba wakiuguza majeraha mabaya baada ya kuhusika kwenye ajali mbaya ya barabarani, iliyotokea katika kituo cha kibiashara cha Mukhonje eneo Bunge la Lugari Kaunti ya Kakamega kwenye barabara kuu ya Eldoret-Webuye usiku wa kuamkia leo.