Skip to main content
Skip to main content

Watu wanne wauawa na ndovu katika kipindi cha wiki moja huko Kajiado

  • | Citizen TV
    985 views
    Duration: 1:36
    Idadi ya watu waliofariki baada ya Kukanyagwa na ndovu katika eneo bunge la Kajiado Magharibi chini ya wiki moja imefikia watu wanne baada ya mwanaume mwenye umri wa miaka 40 kuuawa na ndovu katika eneo la Ilkiroti jana jioni.