24 Dec 2025 1:51 pm | Citizen TV 169 views Duration: 1:07 Mahakama ya Ajira jijini Nairobi imebatilisha uamuzi wa kampuni ya KETRACO wa kumsimamisha kazi Mhandisi Antony Wamukota, ikitaja hatua hiyo kuwa kinyume cha Katiba, na inayokiuka haki za msingi za mfanyakazi.