- 92 viewsDuration: 2:54Huku ripoti wa wizara ya elimu ikionyesha kuwa Idadi kubwa ya Vijana kutoka Ilodokilani, Kajiado Magharibi wanaendelea kukatiza masomo wakiwa na umri mdogo, Wasomi katika eneo hilo wameanza kutumia Michezo kuhamasisha vijana kuhusu umuhimu wa Elimu.