24 Dec 2025 2:00 pm | Citizen TV 684 views Duration: 55s Maafisa wa polisi kaunti ya Kirinyaga wameanzisha uchunguzi kubaini kilicho sababisha vifo vya wanaume wawili Katika vitongoji viwili tofauti eneo la Mwea.