- 274 viewsDuration: 2:59Awamu ya tatu ya makala ya sherehe za "Tobong Nawi" imetoa nafasi kwa jamii hasimu za wafugaji zinazoishi baragoi samburu kaskazini, kuzika uhasama wa tangu jadi. Jamii hizo zikishiriki sherehe hizo kwa kuimba nyimbo na kudhihirisha tamaduni zao.