Skip to main content
Skip to main content

Polisi wanachunguza mazingira yaliyosababisha kifo cha mwanafunzi wa chuo cha Daystar

  • | Citizen TV
    15,438 views
    Duration: 3:27
    Polisi wanachunguza mazingira yaliyosababisha kifo cha mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Daystar wakati wa tamasha ya msanii wa Afrobeat iliyofanyika Jumamosi katika Uwanja wa Nyayo. Karen Lojore, anaripotiwa kufariki baada ya mkanyagano kutokea katika milango ya uwanja huo. Familia yake sasa inataka haki na uwajibikaji wa kifo chake.