- 570 viewsDuration: 1:51Serikali imeanzisha mpango wa chanjo kwa mifugo katika Kaunti ya Trans Nzoia ili kuwalinda wafugaji dhidi ya hasara wakati wa msimu wa Krismasi. Mifugo zaidi ya laki moja unusu inachanjwa dhidi ya ugonjwa wa Midomo na Miguu ili kuboresha afya ya mifugo na uzalishaji wa maziwa na nyama.