- 7,662 viewsDuration: 2:26Mkuu wa Mawaziri Musalia Mudavadi ameanzisha mjadala mkali kuhusu uhalali wa uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2027, akipendekeza mabadiliko ya katiba ili kuweka mambo sawa. Mudavadi anapendekeza kura ya maamuzi ya katiba ifanywe ili kutatua masuala ya mipaka na sensa ambayo huenda ikawa jinamizi kwenye uchaguzi ujao. Stephen letoo anatukunjulia jamvi la nipashe na mdahalo huo.