Skip to main content
Skip to main content

Kaunti za Mombasa na Kilifi zaandaa sherehe za mwaka mpya

  • | KBC Video
    309 views
    Duration: 3:43
    Wakazi wa Mombasa, watalii wa humu nchini na wale wa kimataifa waliulaki mwaka mpya wa 2026 kwa mtindo wa aina yake ambapo walimiminika kwenye fuo, maeneo ya burudani pamoja na makanisani kote jijini Mombasa jana usiku. Kwenye kaunti jirani ya Kilifi, viongozi wakiongozwa na gavana Gideon Mung’aro walihudhuria tamasha ya muziki kwenye sehemu hiyo kwa jina ‘Rising Star Finals’ ambayo ilisheheni mbwembwe za aina yake. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive