- 231 viewsDuration: 2:36Familia moja katika eneo la Gitaru huko Kabete katika kaunti ya Kiambu inakadiria hasara baada ya nyumba yao kuteketea muda mfupi baada ya mwaka mpya. Moto huo unasemekana kusababishwa na fataki zilizowashwa na mwanao ndani ya nyumba yao muda mfupi kabla ya mwaka 2026. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive