- 6,009 viewsDuration: 3:40Mtu mmoja amelazwa katika hospitali ya Mbagathi huku juhudi za uokoaji zikiendelea baada ya jumba moja lililokuwa likijengwa kuporomoka mtaa wa South C katika kaunti ya Nairobi alfajiri ya leo. Akizungumza baada ya kuzuru eneo la tukio kwenye barabara ya Muhoho, waziri wa mipango maalum Geoffrey Ruku alisema yamkini watu wanne miongoni mwao walinzi na watembezi wanaaminika kukwama kwenye vifusi, huku serikali ikianzisha uchunguzi kubaini kilichosababisha tukio hilo ambalo pia limeibua maswali nyeti kuhusiana na uzingatiaji na utekelezaji wa viwango vya ujenzi nchini. Joseph Wakhungu na taarifa kwa utendeti. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive