Skip to main content
Skip to main content

Mwili wa mlinzi mmoja wapatikana kwenye vifusi vya maporomoko South C

  • | KBC Video
    403 views
    Duration: 2:52
    MKASA WA MAPOROMOKO Mwili mmoja umepatikana kutoka kwa vifusi vya jengo lililoporomoka katika mtaa wa South C jijini Nairobi, huku shughuli za uokoaji zikielekea hatua za mwisho. Waziri wa huduma za umma Geoffrey Ruku, akiandamana na viongozi kutoka kaunti za Marsabit na Nairobi amezihakikishia familia zilizoathiriwa kwamba serikali itagharamia mazishi, na gharama ya matibabu kwa majeruhi, huku uchunguzi kuhusu kiini cha ajali hiyo ukiendelea kukamilika. Huku hayo yaijiri, gavana wa Nairobi Jonhson Sakaja ametaka kurejeshwa kwa uwezo wa kuwafungulia mashtaka wastawishaji majengo wasiozingatia kanuni. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive