Skip to main content
Skip to main content

Watu 9, wakiwemo watoto 2 wafariki kwenye ajali ya barabarani Naivasha

  • | KBC Video
    323 views
    Duration: 3:09
    Watu tisa, wakiwemo watoto wawili walifariki kwenye ajali ya barabarani, katika barabara kuu ya Nairobi–Naivasha. Ajali hiyo ilihusisha Matatu iliyogongana na basi lililokuwa lielekea Nairobi kutokea eneo la magharibi mwa nchi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive