Skip to main content
Skip to main content

KEMRI : Marekebisho ya nyumba yaweza kupunguza hatari ya malaria

  • | KBC Video
    99 views
    Duration: 2:31
    Wanasayansi katika taasisi ya utafiti wa kimatibabu nchini (KEMRI) wamezindua ripoti kuhusu afya ya umma na kukabiliana na athari za mabadiliko ya hali ya anga wakibainisha kuwa hatua za bei nafuu za kuimarisha makazi zinaweza kupunguza viwango vya joto nyumbani na kuzuia mbu wanaosababisha malaria na hivyo kutoa suluhu kwa mamilioni ya familia katika eneo la bara Afrika linaloathirika zaidi na ugonjwa huo. Kulingana na ripoti hiyo hatua zisizohitaji umeme za kuimarisha makazi zinapunguza joto ndani ya nyumba kwa hadi nyuzi 3.3 na kupunguza idadi ya mbu kwa asilimia 77 katika eneo la magharibi mwa nchi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive