Skip to main content
Skip to main content

Kenya yaondoka rasmi kwenye mfumo wa COMESA wa kudhibiti sekta ya sukari

  • | KBC Video
    334 views
    Duration: 2:19
    Kenya imeondoka rasmi kwenye mfumo wa COMESA wa kudhibiti sekta ya sukari baada ya miaka 24. Mfumo huo uliofikia kikomo tarehe 30 mwezi Novemba ulikuwa hatua ya muda inayoongozwa na marekebisho yaliyonuiwa kudhibiti na kubadili muundo wa sekta ndogo ya sukari, malengo ambayo serikali inasema kuwa sasa yameafikiwa kikamilifu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive