Watoto watatu wameaga dunia kufuatia mkasa wa moto huko Kerarapon, kaunti ya Kajiado

  • | KBC Video
    47 views

    Watoto watatu akiwemo mtoto mchanga wa umri wa miezi mitatu wameaga dunia kufuatia mkasa wa moto huoko Kerarapon,kaunti ya Kajiado baada ya nyumba yao kuteketea usiku wa manane. Mtoto mwingine mmoja amelazwa hospitalini akiwa na majeraha kufuatia kisa hicho. Wazazi wa watoto hao hawakuwa nyumbani kisa hicho kilipotokea. Naibu wa chifu wa eneo hilo Daniel Mutangili amesema kuwa chanzo cha moto huo hakijabainika.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #moto #News #kifo