- 1,405 viewsDuration: 3:33Maelfu ya wazazi wanaiomba Wizara ya elimu ifanyie marekebisho uteuzi wa wanafunzi wa kujiunga na shule za Senior Secondary hasa kutokana na umbali wa shule ambazo wanafunzi wameteuliwa kujiunga nazo, usalama na masomo ambayo wanafunzi wamechaguliwa. Nafasi ya pili ya kurekebisha uteuzi huo ambayo ilianza Jumanne, ilishuhudia idadi kubwa ya wazazi wakijaribu bahati yao kwa matumaini ya kurekebisha hali kabla ya tarehe ya kuripoti shuleni.Kama Joseph Wakhungu anavyoripoti, baadhi ya shule zinazopendelewa sasa zinawafukuza wazazi kwa vile hakuna nafasi zilizosalia za kuwachukua wanafunzi zaidi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive