Skip to main content
Skip to main content

Wadau wahimiza kuanzishwa kwa idara ya ushauri kuhusu masomo ya gredi ya 10

  • | KBC Video
    279 views
    Duration: 3:10
    Wadau wa elimu wamekariri miito yao kuhusu kuanzishwa kwa idara ya utoaji ushauri nasaha kuhusu masomo ya elimu ya shule za upili katika taasisi za elimu ya msingi kama suluhu mwafaka kwa utata unaohusisha uteuzi wa masomo miongoni mwa wanafunzi katika mtaala wa elimu ya umilisi. Na jinsi Wycliffe Oketch anavyotuarifu wadau hao wanasema kuwa wanafunzi katika taasisi za elimu ya msingi na pia wazazi hawana ufahamu wa kutosha kuamua masomo yafaayo bila usaidizi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive