- 7,132 viewsDuration: 3:47Huku wanafunzi wa gredi ya 10 wakijiandaa kujiunga na shule za Senior secondary kote nchini mwanafunzi mmoja katika kijiji cha Mulaka, wadi ya Bukaya, eneo bunge la Mumias magharibi anakumbwa na wasiwasi kuhusu iwapo azma yake ya kuendelea na masomo na kuwa mtaalamu wa maswala ya mifupa itaafikiwa baada ya ajali iliyobadili maisha yake. Elizabeth Okune, aliyekuwa mwanafunzi katika shule ya msingi ya Emuberi alianguka kutoka juu ya mti mwezi Novemba mwaka 2024 akiwa katika gredi ya nane na tangu wakati huo ameshindwa kutembea na kulazimika kusomea shuleni. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive