Skip to main content
Skip to main content

Taharuki mjini Nyeri kabla ya hotuba ya kisiasa ya DCP Rigathi Gachagua

  • | Citizen TV
    18,229 views
    Duration: 2:49
    Taharuki ilishuhudiwa kwa muda mfupi mjini Nyeri kabla ya Kinara wa DCP Rigathi Gachagua kuhutubia mkutano wa kisiasa katika eneo hilo. Makundi mawili hasimu yalikabiliana kwa muda mfupi na kisha baadaye Gachagua akahutubia mkutano huo. Awali akizungumza hapa Nairobi, Gachagua ameshikilia kuwa atakuwa debeni kuhakikisha kuwa Rais William Ruto anaondoka mamlakani.