Skip to main content
Skip to main content

Watu wajeruhiwa kwenye mkutano wa Upinzani, Kisii

  • | Citizen TV
    15,113 views
    Duration: 3:31
    Watu kadhaa wamejeruhiwa huku hofu ikitanda katika eneo la Keroka kaunti ya Kisii baada ya makundi mawili kukabiliana wakati wa mkutano wa kisiasa ulioandaliwa na upinzani. Aidha, gari moja liliteketezwa wakati wa matukio haya. Kwa saa kadhaa, hofu iligubika eneo hilo kabla ya mkutano huu uliokuwa umepangwa na viongozi wa upinzani waliojumuisha kinara wa DCP Rigathi Gachagua, mwenzake wa Wiper Kalonzo Musyoka na Fred Matiang'i wa Jubilee. Viongozi hawa wakilaumu serikali kwa kile wanasema ni kupanga njama ya kuvuruga mikutano yao