Skip to main content
Skip to main content

Gachagua aitisha maandamano Juni 25 dhidi ya bei ya mafuta

  • | Citizen TV
    11,978 views
    Duration: 2:39
    Kinara wa DCP Rigathi Gachagua ameitisha maandamano dhidi ya kuongezwa kwa bei ya mafuta tarehe 25 mwezi Juni sambamba na maandamano ya kuadhimisha dhuluma dhidi ya vijana wa Gen Z. Akihutubia wanahabari kabla ya kuabiri ndege kuelekea nchini Uingereza Ijumaa usiku, naibu rais huyo wa zamani alisema kwamba kuongezeka kwa bei ya mafuta kunatokana na ufisadi, na wala si vita dhidi ya Iran, Israel na Marekani.