Skip to main content
Skip to main content

Familia ya Anne Keya Ahuna yatambua mwili huku uchunguzi wa mauaji ukiendelea

  • | Citizen TV
    11,581 views
    Duration: 2:40
    Siku mbili baada ya mauaji ya Anne Keya Ahuna mtaani Kilimani, familia yake imetambua na kuthibitisha mwili wake katika makafani ya City. Imebainika kuwa mshukiwa wa tukio hilo na marehemu walikuwa na uhusiano ulioanzia Kirinyaga. Ripoti zinaonyesha kuwa mahusiano yao yalikumbwa na changamoto na migogoro ya mara kwa mara.