Skip to main content
Skip to main content

Ruto alaumu upinzani, awaonya vijana dhidi ya kutumika kisiasa

  • | Citizen TV
    2,483 views
    Duration: 2:50
    Rais William Ruto ameendelea kulaumu upinzani kwa kile anasema ni kukosa ajenda na kucheza pata potea na wakenya. Rais Ruto akizungumza katika kaunti ya Uasin Gishu haswa amewaonya vijana dhidi ya kutumika na upinzani bila ya kutoa suluhu kwa shida zinazowakumba ikiwemo ajira