- 2,371 viewsDuration: 1:47Siku moja baada ya mjane wa marehemu kinara wa ODM Raila Odinga kutaka wanasiasa wa chama hicho kuhakikisha umoja wa chama hicho, baadhi ya wanasiasa wamefanya mikutano hii leo hapa Nairobi. Baadhi ya waliokutana wakisema kuwa ODM inajiandaa kuhakikisha inakuwa debeni mwaka ujao