Skip to main content
Skip to main content

KMPDC wachunguza kisa cha msichana 17 aliyejeruhiwa Ruai

  • | Citizen TV
    12,220 views
    Duration: 3:24
    Maafisa wa bodi ya madaktari nchini KMPDC wanachunguza kisa ambapo binti mmoja wa miaka 17 amewachwa na vidonda vibaya baada ya kutibiwa katika hospitali moja ya kibinafsi eneo la Ruiru. Binti huyu sasa akilazimika kulazwa katika hospitali ya rufaa ya Kenyatta kwa matibabu zaidi. Hospitali hiyo ikikana utepetevu