- 10,531 viewsDuration: 2:38Kizaazaa kilishuhudiwa baada ya Ibada ya jumapili iliyohudhuriwa na kinara wa DCP Rigathi Gachagua kusitishwa kwa muda baada ya makundi mawili ya vijana kukabiliana katika eneo la Gatundu South, kaunti ya Kiambu. Gachagua aliyeshutumu matukio hayo akiwalaumu mahasimu wake wa kisiasa kwa kumlenga.