Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Laikipia wakosoa serikali kwa kushindwa kushughulikia uhaba wa maji

  • | KBC Video
    36 views
    Duration: 1:18
    Wakazi wa kaunti ya Laikipia wameikosoa serikali ya kitaifa na ile ya kaunti kwa kushindwa kuanzisha mipango ya kushughulikia uhaba wa maji wa mara kwa mara licha ya eneo hilo kuwa karibu na chemi chemi ya Mt. Kenya ambayo mojawapo ya vyanzo vikuu vya maji nchini. Wakazi hao waliishutumu serikali kwa kuacha mradi wa bwawa kubwa la shilingi bilioni 6 ambao ulipangwa kujengwa katika msitu wa Mt. Kenya mwaka 2021 na ambao ungetoa suluhu ya kudumu kwa kaunti hiyo Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News