Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Kitengela walalamikia uhaba mkubwa wa maji

  • | KBC Video
    97 views
    Duration: 1:57
    Wakazi wa Kitengela wanalalamikia uhaba mkubwa wa maji wakiilaumu serikali ya Kaunti hiyo na Serikali ya Kitaifa kwa kuto-toa suluhu ya kudumu. Wakazi hao wanasema kwa sasa wanalazimika kutegemea wachuuzi wanaowauzia maji yenye chumvi na kwa bei ya juu, hali ambayo imewaongeza mzigo mkubwa wa kiuchumi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News