- 139 viewsDuration: 1:59Jamii zilizoathiriwa na shughuli za uchimbaji madini katika kaunti ya Kwale sasa zimepata afueni baada ya serikali ya kitaifa kutangaza kukamilika kwa utengenezaji wa kanuni za madini ambazo zimesubiriwa kwa muda mrefu zitakazolainisha utoaji wa fidia ya madini. Akizungumza katika taasisi ya mafunzo ya serikali huko Matuga wakati wa kutia saini kanuni hizo, katibu wa madini Harry Kimtai alisema kanuni hizo mpya zitaanza kutumika baada ya kuchapishwa kwenye gazeti rasmi la serikali wiki ijayo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News