- 13,325 viewsDuration: 3:10Kamati kuu ya chama cha ODM imeafikiana kuanzisha mazungumzo na chama cha UDA kwa minaajili ya kuunda muungano imara wa kisiasa kwenye uchaguzi mkuu ujao. Katika mkutano uliofanyika kaunti ya kilifi na kusimamiwa na kinara wa chama hicho Oburu Oginga, waliohudhuria wameafikiana kuwa odm itazidi kuhakikisha kuwa waathiriwa wa maandamano wanapata fidia.