- 105 viewsDuration: 1:29Uchaguzi wa maafisa wa chama cha walimu wa shule za upili na vyuo KUPPET katika kaunti ya Homa Bay umefutiliwa mbali baada ya ghasia kuzuka katika chuo kikuu cha Tom Mboya na kulazimu shughuli hiyo kusitishwa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive