- 2,140 viewsDuration: 3:34Rais William Ruto ameutetea vikali mpango wa NYOTA dhidi ya madai kwamba hauwezi kusuluhisha tatizo la ukosefu ajira nchini. Rais Ruto, aliyeongoza hafla ya utoaji wa mtaji wa Nyota wa kuanzisha biashara kwa vijana, zaidi ya vijana elfu sita kutoka eneo la magharibi ya Mlima Kenya, alisema wapinzani wake hawana sifa yoyote ya maendeleo kuwasilisha kwa wakenya, ikiwa imesalia chini ya miaka miwili kabla ya uchaguzi mkuu. Giverson Maina na taarifa kwa kina. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive