Wakazi wa mtaa wa ‘Old Race Course’ huko Kariokor, eneo bunge la Starehe jijini Nairobi walishiriki maandamano ya amani leo kulalamikia kile walichokitaja kuwa unyakuzi wa barabara ya umma ambayo imekutumika na jamii ya eneo hilo kwa miongo kadhaa. Wakazi hao wanatoa wito kwa serikali kuwachukulia hatua wajenzi wa kibinafasi ambao wamefunga barabara hiyo inayounganisha makazi, shule, maeneo ya biashara na hospitali.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive