Skip to main content
Skip to main content

Mwanafunzi aliyepona saratani apata alama ya A kwa mtihani wa 2025 KCSE

  • | KBC Video
    2,676 views
    Duration: 4:47
    Mwanafunzi aliyepona ugonjwa wa saratani ameibuka kuwa mmoja wa waliofanya vyema zaidi katika mitihani ya kitaifa ya kidato cha nne mwaka 2025. Vincent Gakuhi aliyekuwa katika shule ya upili ya Alliance alipata alama A ya pointi 82 licha ya kuwa hospitalini mara kwa mara kwa kipindi cha miaka yote minne shuleni humo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive