Skip to main content
Skip to main content

Serikali ya Kaunti ya Mombasa yathibitisha ahadi ya usafi

  • | KBC Video
    134 views
    Duration: 2:53
    Serikali ya Kaunti ya Mombasa imethibitisha ahadi yake ya kugeuza jiji la bandari la Mombasa kuwa mji nadhifu zaidi barani Afrika. Ikitiwa moyo na ripoti ya jarida la The Africa Report iliyoorodhesha Mombasa kuwa miongoni mwa miji misafi na ya kuvutia zaidi Afrika, serikali ya kaunti hiyo inasema inarekebisha sera zake za usimamizi wa taka ili viambatane na viwango vya kimataifa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive