Skip to main content
Skip to main content

Wakulima wa mpunga Karaba wanakili ongezeko la mazao

  • | KBC Video
    152 views
    Duration: 2:22
    Wakulima wa mpunga katika eneo la Karaba la mradi wa unyunyiziaji mashamba maji wa Mwea, wamenakili ongezeko la kiwango cha uzalishaji mpunga kufuatia kuwepo wa maji ya kutosha. Ongezeko hilo la mazao linatokana na uwekaji wa mifereji ya kunyunyiza mimea maji, upatikanaji wa maji ya kutosha na kuongezwa kwa ardhi inayonyunyizwa maji, hali ambayo pia imeongeza kiwango cha uzalishaji zao hilo cha kila mwaka. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive